Jumatatu, 31 Julai 2017
Jumapili, 30 Julai 2017
JE WEWE NI NANI?-2
Tanzania Conservatives
Julai 30, 2017
No comments
Wewe kama mwafrika
Ham akiwa na nduguze(Watoto wa Nuhu) |
Utajiuliza kuwa kwanini Katika historia ya
mwafrika tumejikita sana kuanzia biashara ya utumwa, biashara ya kupitia jangwa
la Sahara nk. Utajua kuwa kuna siri kubwa inafichwa nyuma ya pazia. Tuchimbe kuanzia
enzi ya Nuhu, mototo wake wa nane aliyeitwa “Ham”ambaye kwa mujibu wa “Book
of Genesis” ndiye baba wa Watu Weusi. Ham
alikuwa na watoto, kwa majina walikuwa wanaitwa:
JE WEWE NI NANI?-1
Tanzania Conservatives
Julai 30, 2017
No comments
Utangulizi
Kabla ya
kufanya uchambuzi huu wa wazi na kujikita ndani kabisa kuna mambo ya msingi ya
kujiuliza kabla ya kuchimba Zaidi, kwanza fahamu kwamba kutafuta ukweli juu ya
jamii yako au dini yako sio dhambi ni moja kati ya njia ya kujitambua na
kumwamini Mungu wako wa Kweli. Kama unawasiwasi sana naomba ujikaze na uwe tayari
kujibu maswali haya.
Ijumaa, 28 Julai 2017
Uhafidhina ni nini?-1
Tanzania Conservatives
Julai 28, 2017
5 comments
Uhafidhina
Ni falsafa ya kisiasa inayolenga kulinda, kusimamia na kufuata mila, desturi na taratibu za jamii au taifa fulani. Siasa za kihafidhina zinalenga hasa kujenga utaifa kwa kufuata sheria, tamaduni na katiba ya taifa. Masuala kama kukemea ubadhirifu, ufisadi, uonevu, unyanyasaji uvunjaji wa sheria na katiba ni moja kati ya shughuli zao. Kwa kingereza wahafidhina wanaitwa “conservatives” na uhafidhina unaitwa “conservatism” au “conservativism”. Kwa Tanzania CHADEMA ndio chama kinachofuata falsafa hii, ndio maana unaona wanavyopigana kulinda na kutetea haki za Wananchi.Alhamisi, 27 Julai 2017
Popular Post
-
Uhafidhina Ni falsafa ya kisiasa inayolenga kulinda, kusimamia na kufuata mila, desturi na taratibu za jamii au taifa fulani. ...
-
Wewe kama Mwafrika-2c Mwaka 995 KK, Ethiopia: mfalme Sulemani na Makeda Bilqis (malkia wa Sheba) wakuwa na mahusiano na walizaa ...
-
Upande wa Kusini wa Afrika inajulikana kwa jina maarufu kama Afrika ya Juu. Ukisoma kwenye maandiko na vitabu mbalimbali vya kihistoria wa...