Alhamisi, 3 Agosti 2017

#TRUMP IS A GOOD MAN

Tanzania Conservatives     Agosti 03, 2017     No comments


TRUMP: THE RUSSIAN STORY IS A TOTAL FABRICATION

Tanzania Conservatives     Agosti 03, 2017     No comments

JE WEWE NI NANI?-3

Tanzania Conservatives     Agosti 03, 2017     1 comment
D

Hila na dhuluma dhidi ya mtu mweusi-3a

Jambo kubwa lililofanyika na Warumi ni kufuta makumbusho ya kihistoria ya mtu mweusi, mfano iliyokuwa ngome ya Chifu Mkwawa wa Wahehe ambaye alikuwa na asili ya Kiisraeli, msomi wa kubobea shujaa wa Afrika aliyekuwa na lengo kubwa la kujenga utawala mkubwa kama ule wa Kongo na Zimbabwe huko kusini akiangalia historia ya Kilwa na ndoto kubwa ya kurudisha Ufalme ule kwa njia mpya (pengine ndio Tanganyika). Ngome ya Mkwawa ilivunjwa kabisa na masalia yake yakatokomezwa kabisa vito na vitu vya kihistoria pale vikaibwa; historia inatuambia kuwa ngome ile ilikuwa ikipigwa mabomu kwa siku nne mfululizo. Kuna nadhari zinasema kwa Chifu Mkwawa hakuwa amejiua, alifanikiwa kutoroka na alienda kuishi maisha ya kawaida kwa kujificha dhidi ya Wajerumani.

Jumatano, 2 Agosti 2017

JE WEWE NI NANI?-2d

Tanzania Conservatives     Agosti 02, 2017     No comments

Wewe kama Mwafrika-2d



Warada (Radanites) mwaka 1850, hawa walikuwa Waisraeli ambao alikuwa wakifanya biashara duniani kote na mwishoni kukaa magharibi mwa Afrika, huko Timbuktu. Na hawa Warada ni watu weusi kabisa, na kuna mbinu za kufanya upotoshaji na wengine wanawaita Waarabu weusi, jambo aambalo ni uongo mkubwa na wanazuoni wanajua kwa hoja kuwa wale ni Waisraeli. Watu wa Ghana na Ivory Coast (Ashanti Isralites) ni watu wa iliyokuwa “Ashanti Empire”, ambapo watu wa Ashanti

Jumanne, 1 Agosti 2017

Je wewe ni nani?-2c

Tanzania Conservatives     Agosti 01, 2017     2 comments

Wewe kama Mwafrika-2c

Mwaka 995 KK, Ethiopia: mfalme Sulemani na Makeda Bilqis (malkia wa Sheba) wakuwa na mahusiano na walizaa mtoto wa kiume aliyeitwa Meneleki I, ambaye alianzisha utawala wa kinasaba na wa Mfalme Sulemani zaidi ya miaka 3000 iliyopita (1000KK) ambapo walikuwa wana tamaduni za Kiyahudi na mfumo wa utawala wao, historia inatuambia

Popular Post

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Tanzania Conservative. Designed by Conservative. Powered by Blogger.